Kidimasa

Kidimasa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadimasa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidimasa imehesabiwa kuwa watu 112,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidimasa iko katika kundi la Kisal.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search